Wednesday, 2 April 2014

DIAMOND AZIDI KUPASUA MIAMBA NA KWENDA KIMATAIFA..



Msanii wa kiwanda cha muziki kutoka Nigeria Waje
Jitihada za msanii Naseeb Abdul a.k.a diamond platnumz dangote zinaendelea kuonekana na hivi sasa mashabiki wake kaeni mkao wa kula kusubiria single mpya aliyoshirikishwa na mwanadada machachari katika tasnia hiyo kutoka Nigeria Waje.Pia Waje aliongeza kuwa diamond ni mchapakazi sana na anajituma kwahiyo itakuwa kazi nzuri sana na mashabiki wakae tayari.

Tuesday, 1 April 2014

IRENE UWOYA NA JACKLINE WOLPER WAPATANA.

Waigizaji wa kiwanda cha filamu Tanzania Irene na Wolper.
Hakika chuki,dharau,majivuno na sifa huwa hazijengi na badala yake huchochea uadui miongoni mwa watu. Lakini hayo hukosa nafasi endapo watu wataishi kwa amani kuheshimiana na kutowapa nafasi wambeya kuharibu mahusiano yaliyopo kati yao.

ALBAM MPYA YA MJ SOKONI MEY 13

Muonekano wa cover ya albam.

Kama wewe ni mpenzi wa muziki wa pop basi utakuwa unatambua nafasi na pengo kubwa lililoachwa na mfalme wa muziki huo hayati Michael Jackson. Basi tarajia kupata kazi zake mpya ambazo hujawahi zisikia zitazokuwa katika albam yake iliyopewa jina la XSCAPE.

Wednesday, 26 March 2014

WORLD OF CELEBRITIES:UTANGULIZI

Habari wapendwa,natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa.Napenda kuwafahamisha kuwa nimefungua blog hii itakayo toa habari motomoto na za uhakika kuhusiana na maisha ya watu maarufu ndani na nje ya nchi,vilevile matukio yao kwa ujmla.