Wednesday, 2 April 2014

DIAMOND AZIDI KUPASUA MIAMBA NA KWENDA KIMATAIFA..



Msanii wa kiwanda cha muziki kutoka Nigeria Waje
Jitihada za msanii Naseeb Abdul a.k.a diamond platnumz dangote zinaendelea kuonekana na hivi sasa mashabiki wake kaeni mkao wa kula kusubiria single mpya aliyoshirikishwa na mwanadada machachari katika tasnia hiyo kutoka Nigeria Waje.Pia Waje aliongeza kuwa diamond ni mchapakazi sana na anajituma kwahiyo itakuwa kazi nzuri sana na mashabiki wakae tayari.