![]() |
Waigizaji wa kiwanda cha filamu Tanzania Irene na Wolper. |
Mastaa wawili wa bongo movie ambao ni vinara katika tasnia hiyo Irene Uwoya na
Jackline Wolper walikuwa katika bifu lililopelekea amani kutoweka miongoni mwao,lakini hali imekuwa shwari baada ya msanii mwenzao Steve Nyerere kuwakutanisha na kuondoa tofauti zao na hivyo mambo yamekuwa shwari na wanaishi kwa amani.
Yap mamy...ni kwel chuki, dharau, majivuno ni v2 ambavyo havijengi hata ckumoja..all in all heshima
ReplyDeletedah chuki sio nzuri jaman
ReplyDeletedah chuki sio nzuri jaman
ReplyDeleteKama ni hivo basi itakuwa vyema.
ReplyDelete