Saturday, 5 March 2016

DIAMOND AKUTANA NA KANYE WEST MAREKANI.



Kwa shabiki yeyote wa Kanye West akikutana nae hawezi kuacha kupiga nae picha. Diamond alisafiri kuelekea Marekani Las Vegas kwa ajili ya kufanya  show, ambapo kwenye maelezo ya hii picha, ilionekana wakati huo alikuwa Los Angeles.



Kwa maana hiyo Diamond amekuwa mtanzania mwingine, aliyepiga picha na Kanye West, ambapo Vanessa Mdee amewahi kukutana na Kanye West na kuongea nae sambamba na kupiga picha ya pamoja.