Wednesday, 26 March 2014

WORLD OF CELEBRITIES:UTANGULIZI

Habari wapendwa,natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa.Napenda kuwafahamisha kuwa nimefungua blog hii itakayo toa habari motomoto na za uhakika kuhusiana na maisha ya watu maarufu ndani na nje ya nchi,vilevile matukio yao kwa ujmla.




Nia na madhumuni ya blog hii ni kuikutanisha jamii pamoja na watu ambao ni kioo cha jamii kwa ujumla na hivyo kuweza kupata fursa ya kutambua mambo mbalimbali yaliyo chini ya kapeti kuhusu mtu husika.

Naomba ushirikiano wa dhati ili kuweza kufanikisha zoezi hili kwa usalama.
Asanteni na Karibuni sana.

6 comments:

  1. nahsi nitajua zaid na zaid kuhusu master so karibu pia

    ReplyDelete
  2. naona tutakuwa karibu na mastaa wetu

    ReplyDelete
  3. Good idea mama..hop tutapata mambo mazuri kutoka kwako... nakuaminia....

    ReplyDelete
  4. Asanteni wote na mambo mazuri yanakuja

    ReplyDelete
  5. I paid a visit hapa baada ya kuona link kwenye bio yako instagram....cool idea.

    ReplyDelete