Wednesday, 2 April 2014

DIAMOND AZIDI KUPASUA MIAMBA NA KWENDA KIMATAIFA..



Msanii wa kiwanda cha muziki kutoka Nigeria Waje
Jitihada za msanii Naseeb Abdul a.k.a diamond platnumz dangote zinaendelea kuonekana na hivi sasa mashabiki wake kaeni mkao wa kula kusubiria single mpya aliyoshirikishwa na mwanadada machachari katika tasnia hiyo kutoka Nigeria Waje.Pia Waje aliongeza kuwa diamond ni mchapakazi sana na anajituma kwahiyo itakuwa kazi nzuri sana na mashabiki wakae tayari.


 Kwa upande wake diamond amewasihi vijana wa kitanzania kujituma na kujikita pia katika kilimo na kuondoa ile dhana ya kuwa kilimo ni ushamba.Hakika diamond anaipeleka tasnia ya muziki wa Tanzania katika hatua nyingine hivyo ni mfano wa kuigwa.


Msanii wa kiwanda cha muziki Tanzania diamond platnumz

5 comments:

  1. hongera kwa Dimond ameonesha kitu kizuri katika tasnia ya muziki hivyo ipo haja wasanii wengine kuiga ili kuendeleza juhudi za maendeleo

    ReplyDelete
  2. Nazan platnum ni msanii wa kibongo ambaye anaipeperusha vizur bendera ya tz so keep it up en thnx for info

    ReplyDelete
  3. nadhani diamond atakuwa mfano mzuri kuigwa

    ReplyDelete
  4. Chezea mtoto wa kigoma wewe?

    ReplyDelete